Luka 11:50 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192150 illi kwa kizazi hiki itakwe damu ya manabii wote ilivomwagika tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 Matokeo yake ni kwamba kizazi hiki kitaadhibiwa kwa sababu ya damu ya manabii wote iliyomwagika tangu mwanzo wa ulimwengu; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 Matokeo yake ni kwamba kizazi hiki kitaadhibiwa kwa sababu ya damu ya manabii wote iliyomwagika tangu mwanzo wa ulimwengu; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 Matokeo yake ni kwamba kizazi hiki kitaadhibiwa kwa sababu ya damu ya manabii wote iliyomwagika tangu mwanzo wa ulimwengu; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Kwa hiyo kizazi hiki kitawajibika kwa ajili ya damu ya manabii iliyomwagwa tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Kwa hiyo kizazi hiki kitawajibika kwa ajili ya damu ya manabii iliyomwagwa tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu, Tazama sura |