Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 11:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Akawaambia, Nani kwenu aliye na rafiki akamwendea usiku wa manane akamwambia,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Kisha akawaambia, “Tuseme mmoja wenu anaye rafiki, akaenda kwake usiku wa manane, akamwambia: ‘Rafiki, tafadhali niazime mikate mitatu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Kisha akawaambia, “Tuseme mmoja wenu anaye rafiki, akaenda kwake usiku wa manane, akamwambia: ‘Rafiki, tafadhali niazime mikate mitatu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Kisha akawaambia, “Tuseme mmoja wenu anaye rafiki, akaenda kwake usiku wa manane, akamwambia: ‘Rafiki, tafadhali niazime mikate mitatu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Kisha akawaambia, “Ni nani miongoni mwenu mwenye rafiki yake, naye akamwendea usiku wa manane na kumwambia, ‘Rafiki, nikopeshe mikate mitatu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Kisha akawaambia, “Ni nani miongoni mwenu mwenye rafiki yake, naye akamwendea usiku wa manane na kumwambia, ‘Rafiki, nikopeshe mikate mitatu.

Tazama sura Nakili

Luka 11:5
3 Marejeleo ya Msalaba  

Utupe leo riziki zetu. Utusamehe dhambi zetu, kwa maana sisi nasi tunamsamehe killa mtu anaewiwa nasi. Usituingize majaribuni, hali utuokoe na yule mwovu.

Ee rafiki, uniazime mikate mitatu: maana rafiki yangu amekuja kwangu, atoka safarini, nami sina kitu cha kumwandikia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo