Luka 11:46 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192146 Akasema, Na ninyi wana sharia, ole wenu, kwa sababu mwawachukuza watu mizigo isiyochukulika, na ninyi wenyewe hamwigusi mizigo hiyo kwa kimojawapo cha vidole vyenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema46 Yesu akamjibu, “Na nyinyi waalimu wa sheria, ole wenu; maana mnawatwika watu mizigo isiyochukulika, huku nyinyi wenyewe hamnyoshi hata kidole kuwasaidia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND46 Yesu akamjibu, “Na nyinyi waalimu wa sheria, ole wenu; maana mnawatwika watu mizigo isiyochukulika, huku nyinyi wenyewe hamnyoshi hata kidole kuwasaidia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza46 Yesu akamjibu, “Na nyinyi waalimu wa sheria, ole wenu; maana mnawatwika watu mizigo isiyochukulika, huku nyinyi wenyewe hamnyoshi hata kidole kuwasaidia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu46 Isa akamjibu, “Nanyi wataalamu wa Torati, ole wenu, kwa sababu mnawatwika watu mizigo mizito ambayo hawawezi kubeba, wala ninyi wenyewe hamwinui hata kidole kimoja kuwasaidia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu46 Isa akamjibu, “Nanyi wataalamu wa Torati, ole wenu, kwa sababu mnawatwika watu mizigo mizito ambayo hawawezi kubeba, wala ninyi wenyewe hamwinui hata kidole kimoja kuwasaidia. Tazama sura |