Luka 11:44 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192144 Ole wenu, maana mfano wenu ni makaburi yasiyoonekana, na watu wapitao juu yao hawana khabari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 Ole wenu, kwa sababu mko kama makaburi yaliyofichika; watu hutembea juu yake bila kufahamu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Ole wenu, kwa sababu mko kama makaburi yaliyofichika; watu hutembea juu yake bila kufahamu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Ole wenu, kwa sababu mko kama makaburi yaliyofichika; watu hutembea juu yake bila kufahamu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 “Ole wenu, kwa sababu ninyi ni kama makaburi yasiyokuwa na alama, ambayo watu huyakanyaga pasipo kujua.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 “Ole wenu, kwa sababu ninyi ni kama makaburi yasiyokuwa na alama, ambayo watu huyakanyaga pasipo kujua.” Tazama sura |