Luka 11:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192140 Enyi wapumbavu, yeye aliyekifauya cha nje, siye aliyekifanya cha ndani naebo? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Wapumbavu nyinyi! Je, aliyetengeneza nje si ndiye aliyetengeneza ndani pia? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Wapumbavu nyinyi! Je, aliyetengeneza nje si ndiye aliyetengeneza ndani pia? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Wapumbavu nyinyi! Je, aliyetengeneza nje si ndiye aliyetengeneza ndani pia? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Enyi wapumbavu! Hamjui kuwa yeye aliyetengeneza nje ndiye alitengeneza na ndani pia? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Enyi wapumbavu! Hamjui kuwa yeye aliyetengeneza nje ndiye alitengeneza na ndani pia? Tazama sura |