Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 11:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Yule Farisayo alipoona akastaajabu kwa sababu hakunawa kabla ya chakula.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Huyo Mfarisayo alistaajabu kuona kwamba alikula chakula bila kunawa kwanza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Huyo Mfarisayo alistaajabu kuona kwamba alikula chakula bila kunawa kwanza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Huyo Mfarisayo alistaajabu kuona kwamba alikula chakula bila kunawa kwanza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Yule Farisayo akashangaa kwamba Isa hakunawa kwanza kabla ya kula.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Yule Farisayo akashangaa kwamba Isa hakunawa kwanza kabla ya kula.

Tazama sura Nakili

Luka 11:38
5 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu aliposikia haya, akastaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa kama hii, hatta katika Israeli.

Hatta alipokuwa akisema, Farisayo mmoja akamwita ale chakula cha assubuhi kwake: akaingia, akaketi.

Bassi palitokea mashindano ya wanafunzi wa Yohana na Wayahudi katika khabari ya utakaso.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo