Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 11:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

37 Hatta alipokuwa akisema, Farisayo mmoja akamwita ale chakula cha assubuhi kwake: akaingia, akaketi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Yesu alipokuwa akiongea, Mfarisayo mmoja alimkaribisha chakula nyumbani kwake, naye akaenda, akaketi kula chakula.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Yesu alipokuwa akiongea, Mfarisayo mmoja alimkaribisha chakula nyumbani kwake, naye akaenda, akaketi kula chakula.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Yesu alipokuwa akiongea, Mfarisayo mmoja alimkaribisha chakula nyumbani kwake, naye akaenda, akaketi kula chakula.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Isa alipomaliza kuzungumza, Farisayo mmoja alimwalika nyumbani mwake kwa chakula. Isa akaingia na kuketi katika sehemu yake mezani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Isa alipomaliza kuzungumza, Farisayo mmoja alimwalika nyumbani mwake kwa chakula. Isa akaingia na kuketi katika sehemu yake mezani.

Tazama sura Nakili

Luka 11:37
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, kama mwili wako wote nna nuru, tena kama hanna sehemu iliyo na giza, mwili wako utakuwa na nuru kabisa kama vile taa ikumulikiavyo kwa mwangaza wake.

Yule Farisayo alipoona akastaajabu kwa sababu hakunawa kabla ya chakula.

IKAWA, Yesu alipoingia katika nyumba ya mtu mmoja, mtu mkuu katika Mafarisayo, siku ya sabato, ale chakula, walikuwa wakimvizia.

Mtu mmoja katika Mafarisayo akamtaka ale chakula pamoja nae. Akaingia katika nyumba yake yule Farisayo, akaketi chakulani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo