Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 11:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 Watu wa Ninawi watasimama siku ile ya hukumu pamoja na kizazi hiki, nao wataihukumu: maana wao walitubu kwa ajili ya makhubiri ya Yunus, na hapa pana khabari kubwa kuliko Yunus.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Watu wa Ninewi watatokea wakati wa hukumu, nao watakihukumu kizazi hiki kwamba kina hatia. Maana Waninewi walitubu kwa sababu ya mahubiri ya Yona; na kumbe hapa pana kikuu kuliko Yona!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Watu wa Ninewi watatokea wakati wa hukumu, nao watakihukumu kizazi hiki kwamba kina hatia. Maana Waninewi walitubu kwa sababu ya mahubiri ya Yona; na kumbe hapa pana kikuu kuliko Yona!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Watu wa Ninewi watatokea wakati wa hukumu, nao watakihukumu kizazi hiki kwamba kina hatia. Maana Waninewi walitubu kwa sababu ya mahubiri ya Yona; na kumbe hapa pana kikuu kuliko Yona!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Siku ya hukumu, watu wa Ninawi watasimama pamoja na kizazi hiki na kukihukumu; kwa maana wao walitubu waliposikia mahubiri ya Yona. Na tazama, hapa yupo yeye aliye mkuu kuliko Yona.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Siku ya hukumu, watu wa Ninawi watasimama pamoja na kizazi hiki na kukihukumu; kwa maana wao walitubu waliposikia mahubiri ya Yona. Na tazama, hapa yupo yeye aliye mkuu kuliko Yona.

Tazama sura Nakili

Luka 11:32
9 Marejeleo ya Msalaba  

Akajibu, akawaambia, Kizazi kibaya na cha zina chataka ishara, wala hakitapewa ishara, ilia ishara ya nabii Yunus.

Watu wa Ninawi watasimama siku ile ya hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki, nao watakihukumu: maana wao walitubu kwa makhubiri ya Yunus; na hapa yupo aliye mkuu kuliko Yunus.

Malkia wa kusini atafufuliwa siku ile ya hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki, nae atawahukumu; kwa sababu yeye alikuja kutoka ncha za dunia illi kuisikia hekima ya Sulemani; na hapa pana khabari kubwa kuliko Sulemani.

Maana ilipendeza sisi tuwe na kuhani mkuu wa namna hii, aliye mtakatifu, asiokuwa na uovu, asiokuua na waa lolote, aliyetengwa na wakosaji, aliyekuwa juu kuliko mbingu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo