Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 11:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Maana kama vile Yunus alivyokuwa ishara kwa watu wa Ninawi, ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa kwa kizazi hiki.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Jinsi Yona alivyokuwa ishara kwa watu wa Ninewi, ndivyo pia Mwana wa Mtu atakavyokuwa ishara kwa kizazi hiki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Jinsi Yona alivyokuwa ishara kwa watu wa Ninewi, ndivyo pia Mwana wa Mtu atakavyokuwa ishara kwa kizazi hiki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Jinsi Yona alivyokuwa ishara kwa watu wa Ninewi, ndivyo pia Mwana wa Mtu atakavyokuwa ishara kwa kizazi hiki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Kwa maana kama vile Yona alivyokuwa ishara kwa watu wa Ninawi, ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa ishara kwa kizazi hiki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Kwa maana kama vile Yona alivyokuwa ishara kwa watu wa Ninawi, ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa ishara kwa kizazi hiki.

Tazama sura Nakili

Luka 11:30
7 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo