Luka 11:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19213 Ufalme wako uje. Mapenzi yako yatimizwe, kama mbinguni, kadhalika duniani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Utupe daima chakula chetu cha kila siku. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Utupe daima chakula chetu cha kila siku. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Utupe daima chakula chetu cha kila siku. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Utupatie kila siku riziki yetu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Utupatie kila siku riziki yetu. Tazama sura |