Luka 11:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192128 Lakini yeye akasema, Bali afadhali wa kheri wenye kulisikia neno la Mungu na kulishika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Lakini Yesu akasema, “Lakini heri zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Lakini Yesu akasema, “Lakini heri zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Lakini Yesu akasema, “Lakini heri zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Isa akajibu, “Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Isa akajibu, “Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii.” Tazama sura |