Luka 11:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192127 Ikawa alipokuwa akinena haya, mwauamke mmoja katika makutano akapaaza sauti yake akamwambia, Li kheri tumbo lililokuehukua, na maziwa uliyonyonya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Alipokuwa akisema hayo, mwanamke mmoja katika lile kundi la watu, akasema kwa sauti kubwa: “Heri mwanamke aliyekuzaa na kukunyonyesha!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Alipokuwa akisema hayo, mwanamke mmoja katika lile kundi la watu, akasema kwa sauti kubwa: “Heri mwanamke aliyekuzaa na kukunyonyesha!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Alipokuwa akisema hayo, mwanamke mmoja katika lile kundi la watu, akasema kwa sauti kubwa: “Heri mwanamke aliyekuzaa na kukunyonyesha!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Ikawa Isa alipokuwa akisema hayo, mwanamke mmoja katikati ya umati ule wa watu akapaza sauti akasema, “Limebarikiwa tumbo lililokuzaa na matiti uliyonyonya!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Ikawa Isa alipokuwa akisema hayo, mwanamke mmoja katikati ya ule umati wa watu akapaza sauti akasema, “Limebarikiwa tumbo lililokuzaa na matiti uliyonyonya!” Tazama sura |