Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 11:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Marra huenda, huchukua pepo saba wengine walio waovu kupita nafsi yake: nao huingia na kukaa humo: na mambo ya mwisho ya mtu yule huwa mabaya kuliko ya kwanza.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Basi, huenda na kuwachukua pepo wengine saba wabaya kuliko yeye; wote huenda, wakamwingia mtu huyo. Hivyo, hali ya mtu huyo sasa huwa mbaya zaidi kuliko hapo mwanzo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Basi, huenda na kuwachukua pepo wengine saba wabaya kuliko yeye; wote huenda, wakamwingia mtu huyo. Hivyo, hali ya mtu huyo sasa huwa mbaya zaidi kuliko hapo mwanzo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Basi, huenda na kuwachukua pepo wengine saba wabaya kuliko yeye; wote huenda, wakamwingia mtu huyo. Hivyo, hali ya mtu huyo sasa huwa mbaya zaidi kuliko hapo mwanzo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 ndipo huenda na kuchukua pepo wachafu wengine saba wabaya kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo. Nayo hali ya mwisho ya yule mtu huwa ni mbaya kuliko ile ya kwanza.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 ndipo huenda na kuchukua pepo wachafu wengine saba wabaya kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo. Nayo hali ya mwisho ya yule mtu huwa ni mbaya kuliko ile ya kwanza.”

Tazama sura Nakili

Luka 11:26
11 Marejeleo ya Msalaba  

Marra huenda, akachukua pamoja nae pepo wengine saba walio waovu kupita nafsi yake, nao huingia na kukaa humo; na mambo, ya mwisho ya mtu yule huwa mabaya kuliko ya kwanza. Ndivyo itakavyokuwa kwa kizazi hiki kilicho kiovu.

Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! kwa kuwa mnazunguka katika bahari na inchi kavu illi kumfanya mtu mmoja kuwa mwongofu; na akiisha kufanyika, mnamfanya kuwa mwana wa jehannum marra mbili zaidi kuliko ninyi wenyewe.

Akija, huiona imefagiwa, imepambwa.

Ikawa alipokuwa akinena haya, mwauamke mmoja katika makutano akapaaza sauti yake akamwambia, Li kheri tumbo lililokuehukua, na maziwa uliyonyonya.

Baada ya haya Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima: usitencle dhambi tena, jambo lililo baya zaidi lisije likakupata.

Mtu akimwona ndugu yake anakosa kosa lisilo la mauti, ataomba, nae atampa uzima kwa ajili ya hawo wakosao kosa lisilo la mauti. Liko kosa lililo la mauti. Sisemi ya kwamba ataomba kwa ajili ya hilo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo