Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 11:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Pepo mchafu amtokapo mtu, hupita kati ya mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika: asipopata hunena, Nitarudi uyumbani kwangu nilikotoka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 “Pepo mchafu akifukuzwa kwa mtu, huzururazurura jangwani kukavu akitafuta mahali pa kupumzika. Asipopata, hujisemea: ‘Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 “Pepo mchafu akifukuzwa kwa mtu, huzururazurura jangwani kukavu akitafuta mahali pa kupumzika. Asipopata, hujisemea: ‘Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 “Pepo mchafu akifukuzwa kwa mtu, huzururazurura jangwani kukavu akitafuta mahali pa kupumzika. Asipopata, hujisemea: ‘Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 “Pepo mchafu anapomtoka mtu, hutangatanga katika sehemu zisizo na maji akitafuta mahali pa kupumzika, lakini hapati. Ndipo husema, ‘Nitarudi kwenye nyumba yangu nilikotoka.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 “Pepo mchafu amtokapo mtu, hutangatanga katika sehemu zisizo na maji akitafuta mahali pa kupumzika, lakini hapati. Ndipo husema, ‘Nitarudi kwenye nyumba yangu nilikotoka.’

Tazama sura Nakili

Luka 11:24
18 Marejeleo ya Msalaba  

Akamsihi sana asiwapeleke nje ya incbi ile.

Nae Yesu akiona ya kuwa makutano yanakusanyika mbio, akamkemea yule pepo mchafu, akamwambia, Ewe pepo bubu ua kiziwi, mimi nakuamuru, mtoke, wala usimwingie tena.

Akija, huiona imefagiwa, imepambwa.

mlizoziendea zamani kwa kuifuata kawaida ya ulimwengu huu, na kwa kumfuata mfalme wa uwezo wa anga, roho yule atendae kazi sasa katika wana wa kuasi;

Erevukeni, kesheni; kwa kuwa mshitaki wenu Shetani, kama simba angurumae, huzungukazunguka, akitafuta mtu amle;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo