Luka 11:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192123 Mtu asiye pamoja nami ni adui yangu: nae asiyekusanya pamoja nami hutapanya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 “Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami, na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 “Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami, na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya. Tazama sura |