Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 11:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 lakini mwenye nguvu za kumpita yeye atakapokuja na kumshinda, amnyangʼanya silaha zake zote alizotegemea, na mateka yake ayagawanya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Lakini akija mwenye nguvu zaidi akamshambulia na kumshinda, huyo huziteka silaha zake alizotegemea na kugawanya nyara.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Lakini akija mwenye nguvu zaidi akamshambulia na kumshinda, huyo huziteka silaha zake alizotegemea na kugawanya nyara.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Lakini akija mwenye nguvu zaidi akamshambulia na kumshinda, huyo huziteka silaha zake alizotegemea na kugawanya nyara.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Lakini mtu mwenye nguvu kuliko yeye akimshambulia na kumshinda, yeye humnyang’anya silaha zake zote alizozitegemea, na kuchukua nyara.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Lakini mtu mwenye nguvu zaidi kumliko akimshambulia na kumshinda, yeye humnyang’anya silaha zake zote alizozitegemea, na kuchukua nyara.

Tazama sura Nakili




Luka 11:22
14 Marejeleo ya Msalaba  

Aliye na nguvu, mwenye silaha zake, alindapo na wake, mali zake zimo katika amani:


Mtu asiye pamoja nami ni adui yangu: nae asiyekusanya pamoja nami hutapanya.


Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila zake Shetani.


Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kutimiza yote kusimama.


akiisha kuziteka enzi na mamlaka, na kuzimithilisha kwa ujasiri, akizishangilia katika msalaba huo.


afanyae dhambi yu wa Shetani: kwa kuwa Shetani hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihiri, illi azivunje kazi za Shetani.


Ninyi, watoto wangu, mwatokana na Mungu: nanyi mmewashinda, kwa sababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo