Luka 11:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192119 Lakini mimi nikifukuza pepo kwa Beelzebul, wana wenu huwafukuza kwa nani? bassi kwa hiyo hawo ndio watakaokuwa waamuzi wenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Kama ninafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, wafuasi wenu huwafukuza kwa uwezo wa nani? Kwa sababu hiyo, wao ndio watakaowahukumu nyinyi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Kama ninafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, wafuasi wenu huwafukuza kwa uwezo wa nani? Kwa sababu hiyo, wao ndio watakaowahukumu nyinyi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Kama ninafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, wafuasi wenu huwafukuza kwa uwezo wa nani? Kwa sababu hiyo, wao ndio watakaowahukumu nyinyi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kama mimi natoa pepo wachafu kwa nguvu za Beelzebuli, wafuasi wenu nao je, wao hutoa pepo wachafu kwa uwezo wa nani? Hivyo basi, wao ndio watakaowahukumu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kama mimi natoa pepo wachafu kwa nguvu za Beelzebuli, wafuasi wenu nao je, wao hutoa pepo wachafu kwa uwezo wa nani? Hivyo basi, wao ndio watakaowahukumu. Tazama sura |