Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 11:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Nae Shetani vivyo hivyo akigawanyika katika nafsi yake, ufalme wake utasimamaje? kwa maana ninyi mnasema ninafukukuza pepo kwa Beelzebul.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Kama Shetani anajipinga mwenyewe, utawala wake utasimamaje? Mnasemaje, basi, kwamba ninawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Kama Shetani anajipinga mwenyewe, utawala wake utasimamaje? Mnasemaje, basi, kwamba ninawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Kama Shetani anajipinga mwenyewe, utawala wake utasimamaje? Mnasemaje, basi, kwamba ninawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Kama Shetani amegawanyika mwenyewe, ufalme wake utasimamaje? Nawaambia haya kwa sababu ninyi mnadai ya kuwa mimi ninatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Kama Shetani amegawanyika mwenyewe, ufalme wake utasimamaje? Nawaambia haya kwa sababu ninyi mnadai ya kuwa mimi ninatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli.

Tazama sura Nakili

Luka 11:18
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yamtosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa wamemwita mwenye nyumba Beelzebul, je, si zaidi wale walio nyumbani mwake?

Na Shetani akimfukuza Shetani, amefitinika na nafsi yake; bassi ufalme wake utasimamaje?

Ndipo Yesu akamwambia, Nenda zako, Shetani: kwa maana imeandikwa, Utamsujudia Bwana Mungu wako, nae peke yake utamwabudu.

Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.

Wengine wao wakasema, Kwa Beelzebul, mkubwa wa pepo atoa pepo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo