Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 11:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Nae, akiyajua mawazo yao, akawaambia, Killa ufalme uliogawanyika wenyewe kwa wenyewe hufanyika ukiwa, na nyumba iliyogawanyika nyumba kwa nyumba huanguka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Lakini yeye, akiwa anayajua mawazo yao, akawaambia, “Ufalme wowote uliogawanyika vikundi vinavyopingana hauwezi kudumu; kadhalika, jamaa yoyote iliyo na mafarakano huangamia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Lakini yeye, akiwa anayajua mawazo yao, akawaambia, “Ufalme wowote uliogawanyika vikundi vinavyopingana hauwezi kudumu; kadhalika, jamaa yoyote iliyo na mafarakano huangamia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Lakini yeye, akiwa anayajua mawazo yao, akawaambia, “Ufalme wowote uliogawanyika vikundi vinavyopingana hauwezi kudumu; kadhalika, jamaa yoyote iliyo na mafarakano huangamia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Isa akajua mawazo yao, naye akawaambia, “Kila ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe huangamia. Nayo nyumba iliyogawanyika dhidi yake yenyewe itaanguka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Isa akajua mawazo yao, naye akawaambia, “Kila ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe huangamia. Nayo nyumba iliyogawanyika dhidi yake yenyewe itaanguka.

Tazama sura Nakili

Luka 11:17
9 Marejeleo ya Msalaba  

Nae Yesu, akijua mawazo yao, akasema, Jinsi gani mnawaza maovu mioyoni mwenu?

na kwa sababu hakuwa na haja ya watu kushuhudia khabari za niwana Adamu; kwa maana yeye mwenyewe alijua yaliyomo ndani ya mwana Adamu.

nami nitawaua watoto wake kwa manti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzae viuno na mioyo. Nami nitampa killa mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo