Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 11:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Wengine kwa kumjaribu wakataka ishara ya mbinguni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Wengine ili kumjaribu wakataka awaoneshe ishara kutoka mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Wengine ili kumjaribu wakataka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni.

Tazama sura Nakili




Luka 11:16
7 Marejeleo ya Msalaba  

Makutano walipokuwa wakimkusanyikia akaanza kunena, Kizazi hiki ni kizazi kibaya: chatafuta ishara: wala hakitapewa ishara illa ishara ya nabii Yunus.


Wakamwambia, Unafanya ishara gani bassi illi tuone tukaamini? Unatenda kazi gani?


Wakasema neno hili wakimjaribu wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika inchi.


Kwa sababu Wayahudi wanataka ishara, na Wayunani wanatafuta hekima;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo