Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 11:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Na Yesu alikuwa akifukuza pepo bubu. Ikawa yule pepo alipotoka, bubu akasema, makutano wakastaajabu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Siku moja Yesu alikuwa anamfukuza pepo aliyemfanya mtu mmoja kuwa bubu. Basi, huyo pepo alipomtoka, yule mtu akaweza kuongea, hata umati wa watu ukashangaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Siku moja Yesu alikuwa anamfukuza pepo aliyemfanya mtu mmoja kuwa bubu. Basi, huyo pepo alipomtoka, yule mtu akaweza kuongea, hata umati wa watu ukashangaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Siku moja Yesu alikuwa anamfukuza pepo aliyemfanya mtu mmoja kuwa bubu. Basi, huyo pepo alipomtoka, yule mtu akaweza kuongea, hata umati wa watu ukashangaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Basi Isa alikuwa anamtoa pepo mchafu kutoka kwa mtu aliyekuwa bubu. Yule pepo mchafu alipomtoka yule mtu aliyekuwa bubu, akaanza kuongea, nao umati wa watu wakashangaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Basi Isa alikuwa anamtoa pepo mchafu kutoka kwa mtu aliyekuwa bubu. Yule pepo mchafu alipomtoka yule mtu aliyekuwa bubu, akaanza kuongea, nao umati wa watu ukashangaa.

Tazama sura Nakili

Luka 11:14
5 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu aliposikia haya, akastaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa kama hii, hatta katika Israeli.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo