Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 11:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 au akimwomba yayi, atampa nge?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Na kama akimwomba yai, je, atampa nge?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Na kama akimwomba yai, je, atampa nge?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Na kama akimwomba yai, je, atampa nge?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Au mtoto akimwomba yai atampa nge?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Au mtoto akimwomba yai atampa nge?

Tazama sura Nakili




Luka 11:12
5 Marejeleo ya Msalaba  

Tazameni, nawapeni mamlaka va kuwakanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hapana kitu kitakachowadhuru ninyi kamwe.


Kwa maana ni nani kwenu aliye baba, mwanawe akamwomba mkate, je! atampa jiwe? au akimwomba samaki, badala ya samaki atampa nyoka?


Bassi, ikiwa ninyi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, Baba aliye mbinguni, je! hatazidi na kuwapa wote wamwombao Roho Mtakatifu?


Na wana mikia kama ya nge, na palikuwa kama viumo katika mikia yao. Na nguvu yao kuwadhuru wana Adamu miezi mitano.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo