Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 11:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Kwa maana ni nani kwenu aliye baba, mwanawe akamwomba mkate, je! atampa jiwe? au akimwomba samaki, badala ya samaki atampa nyoka?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Mtoto akimwomba baba yake samaki, je, atampa nyoka badala ya samaki?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Mtoto akimwomba baba yake samaki, je, atampa nyoka badala ya samaki?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Mtoto akimwomba baba yake samaki, je, atampa nyoka badala ya samaki?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 “Je, kuna baba yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba samaki, atampa nyoka badala yake?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 “Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba samaki, atampa nyoka badala yake?

Tazama sura Nakili




Luka 11:11
5 Marejeleo ya Msalaba  

Au akiomba samaki, atampa nyoka?


Au mtu yupi katika ninyi, ambae, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe?


Kwa sababu killa aombae hupewa: nae atafutae hupata: nae abishae hufunguliwa.


au akimwomba yayi, atampa nge?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo