Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 10:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Waponyeni wagonjwa waliomo, waambieni ya kama, Ufalme wa Mungu umewakaribieni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Ponyeni wagonjwa walioko huko, waambieni watu: ‘Ufalme wa Mungu umekaribia kwenu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Ponyeni wagonjwa walioko huko, waambieni watu: ‘Ufalme wa Mungu umekaribia kwenu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Ponyeni wagonjwa walioko huko, waambieni watu: ‘Ufalme wa Mungu umekaribia kwenu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 waponyeni wagonjwa waliomo na waambieni: ‘Ufalme wa Mungu umewakaribia.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 waponyeni wagonjwa waliomo na waambieni: ‘Ufalme wa Mwenyezi Mungu umekaribia.’

Tazama sura Nakili




Luka 10:9
15 Marejeleo ya Msalaba  

Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.


Tokea wakati huo Yesu akaanza kukhubiri, na kusema, Tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia.


Akanena, Tuulinganishe na nini ufalme wa Mungu? au tuutie katika mfano gani?


Wakafukuza pepo wengi, wakapaka mafuta watu wengi waliokuwa wagoujwa, wakawaponya.


Na mji wo wote mtakaouingia nao hawawakaribishi utokeni, mkipita katika njia zake semeni,


Hatta mavumbi haya ya mji wenu, yaliyogandamana nasi, twayakungʼuta juu yenu: illakini jueni haya, ya kuwa ufalme wa Mungu umewakaribieni.


Akawatuma kuukhubiri ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.


Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa marra ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu.


Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu.


Bassi ijulikane kwenu ya kwamba wokofu huu wa Mungu umepelekwa kwa mataifa, nao watasikia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo