Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 10:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Waonaje bassi? Katika hawa watatu yupi aliyekuwa jirani yake mwenye kuangukia katika mikono ya wanyangʼanyi?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Kisha Yesu akauliza, “Kati ya hao watatu, ni yupi aliyeonesha kuwa jirani yake yule aliyevamiwa na majambazi?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Kisha Yesu akauliza, “Kati ya hao watatu, ni yupi aliyeonesha kuwa jirani yake yule aliyevamiwa na majambazi?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Kisha Yesu akauliza, “Kati ya hao watatu, ni yupi aliyeonesha kuwa jirani yake yule aliyevamiwa na majambazi?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 “Ni yupi basi miongoni mwa hawa watatu wewe unadhani ni jirani yake yule mtu aliyeangukia mikononi mwa wanyang’anyi?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 “Ni yupi basi miongoni mwa hawa watatu wewe unadhani ni jirani yake yule mtu aliyeangukia mikononi mwa wanyang’anyi?”

Tazama sura Nakili

Luka 10:36
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akanena, Hutoa. Nae alipoingia nyumbani, Yesu akatangulia kumwuliza, akinena, Waonaje, Simon? Wafalme wa dunia hutwaa kodi ama ushuru kwa watu gani? kwa wana wao au kwa wageni?

akinena, Mwaonaje katika khabari za Kristo? Yu mwana wa nani? Wakamwambia, Wa Daud.

Hatta assubuhi yake akatoa dinari mbili, akampa mwenye nyumba, akasema, Mwuguze: na cho chote utakachogharimia zaidi, nirudipo, nitakulipa.

Akasema, Ni yule aliyemfanyia huruma. Yesu akamwambia, Enenda zako, nawe ukafanye kama hayo.

Nao wakiwa hawana kitu cha kulipa, akawasamehe wote wawili. Bassi, sema, Katika hawo ni nani atakaempenda zaidi?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo