Luka 10:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192131 Na kwa nasibu kukashuka kuhani mmoja njia ileile, akamwona, akapita upande. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Kumbe, kuhani mmoja akawa anapita barabara ileile, akamwona, akapita kando. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Kumbe, kuhani mmoja akawa anapita barabara ileile, akamwona, akapita kando. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Kumbe, kuhani mmoja akawa anapita barabara ileile, akamwona, akapita kando. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Kuhani mmoja alikuwa akipitia njia ile, alipomwona huyo mtu, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Kuhani mmoja alikuwa akipitia njia ile, alipomwona huyo mtu, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani. Tazama sura |