Luka 10:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 Yesu akajibu akasema, Kulikuwa na mtu akishuka kutoka Yerusalemi kwenda Yeriko; akaangukia katika mikono ya wanyangʼanyi, wakamvua nguo zake, wakamtia jeraha, wakaenda zao, wakamwacha nussu ya kufa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Yesu akamjibu, “Mtu mmoja alikuwa anashuka kutoka Yerusalemu kwenda Yeriko. Alipokuwa njiani, alivamiwa na majambazi, wakamnyanganya mali yake na kumpiga, wakamwacha amelala pale nusu mfu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Yesu akamjibu, “Mtu mmoja alikuwa anashuka kutoka Yerusalemu kwenda Yeriko. Alipokuwa njiani, alivamiwa na majambazi, wakamnyanganya mali yake na kumpiga, wakamwacha amelala pale nusu mfu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Yesu akamjibu, “Mtu mmoja alikuwa anashuka kutoka Yerusalemu kwenda Yeriko. Alipokuwa njiani, alivamiwa na majambazi, wakamnyang'anya mali yake na kumpiga, wakamwacha amelala pale nusu mfu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Isa akamjibu akasema, “Mtu mmoja alikuwa akiteremka kutoka Yerusalemu kwenda Yeriko, naye akaangukia mikononi mwa wanyang’anyi. Wakampiga, wakaondoka, wakamwacha akiwa karibu kufa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Isa akamjibu akasema, “Mtu mmoja alikuwa akiteremka kutoka Yerusalemu kwenda Yeriko, naye akaangukia mikononi mwa wanyang’anyi. Wakampiga, wakaondoka, wakamwacha akiwa karibu kufa. Tazama sura |