Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 10:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Akamwambia, Umejibu vema; fanya hivi, ndipo utaishi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Yesu akamwambia, “Vema! Fanya hivyo, nawe utaishi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Yesu akamwambia, “Vema! Fanya hivyo, nawe utaishi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Yesu akamwambia, “Vema! Fanya hivyo, nawe utaishi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Isa akamwambia, “Umejibu vyema. Fanya hivyo nawe utaishi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Isa akamwambia, “Umejibu vyema. Fanya hivyo nawe utaishi.”

Tazama sura Nakili




Luka 10:28
14 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwambia, Ya nini kuniita mwema? Hakuna mwema illa mmoja, ndiye Mungu. Lakini ukitaka kuingia katika nzima, zishike amri.


Yesu, alipoona kwamba amejibu kwa busara, akamwambia, Wewe huwi mbali na ufalme wa Mungu. Wala hakuthubutu mtu kumsaili neno tena tokea hapo.


Simon akajibu akasema, Nadhani ni yule aliyesamehewa nae mengi. Akamwambia, Umehukumu haki.


Kwa maana Kristo ni mwisho wa sharia, illi killa aaminiye apate haki.


Twajua ya kuwa mambo yote yasemwayo na torati huyanena kwa hao walio chini ya torati, illi killa kinywa kifumbwe, ulimwengu wote ukapasiwe na hukumu ya Mungu:


Nikaona ile amri iletayo uzima, ya kuwa kwangu mimi ilileta mauti.


Na sharia haikuja kwa imani, bali, Mtu atendae hayo ataishi katika hayo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo