Luka 10:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192123 Akawageukia wanafunzi wake kwa faragha, akawaambia, Ya kheri macho yatazamayo mnayoyatazama ninyi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Halafu akawaelekea wafuasi wake akawaambia, “Heri wanaoona yale mnayoyaona nyinyi! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Halafu akawaelekea wafuasi wake akawaambia, “Heri wanaoona yale mnayoyaona nyinyi! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Halafu akawaelekea wafuasi wake akawaambia, “Heri wanaoona yale mnayoyaona nyinyi! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Basi Isa akawageukia wanafunzi wake akanena nao faraghani, akawaambia, “Heri macho yanayoona yale mambo mnayoyaona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Basi Isa akawageukia wanafunzi wake akanena nao faraghani, akawaambia, “Heri macho yanayoona yale mambo mnayoyaona. Tazama sura |