Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 10:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Hatta mavumbi haya ya mji wenu, yaliyogandamana nasi, twayakungʼuta juu yenu: illakini jueni haya, ya kuwa ufalme wa Mungu umewakaribieni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 ‘Hata mavumbi ya mji wenu yaliyoshikamana na miguu yetu tunayapangusa dhidi yenu. Lakini, jueni kwamba ufalme wa Mungu umekaribia.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 ‘Hata mavumbi ya mji wenu yaliyoshikamana na miguu yetu tunayapangusa dhidi yenu. Lakini, jueni kwamba ufalme wa Mungu umekaribia.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 ‘Hata mavumbi ya mji wenu yaliyoshikamana na miguu yetu tunayapangusa dhidi yenu. Lakini, jueni kwamba ufalme wa Mungu umekaribia.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 ‘Hata mavumbi ya mji wenu yaliyoshikamana na miguu yetu, tunayakung’uta dhidi yenu. Lakini mjue kwamba ufalme wa Mungu umekaribia.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 ‘Hata mavumbi ya mji wenu yaliyoshikamana na miguu yetu, tunayakung’uta dhidi yenu. Lakini mjue kwamba Ufalme wa Mwenyezi Mungu umekaribia.’

Tazama sura Nakili




Luka 10:11
16 Marejeleo ya Msalaba  

Na mtu asipowakaribisha wala kuyasikiliza maneno yenu, mtokapo katika nyumba ile, au mji ule, kungʼuteni mavumbi ya miguuni mwenu.


Na katika kuenenda kwenu, khubirini, nikinena, Ufalme wa mbinguni umekaribia.


Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.


Na watu wote wasiokaribisha ninyi wala kuwasikia, mtokapo huko, yakungʼuteni mavumbi yaliyo chini ya miguu yenu kuwa ushuhuda kwao.


Na mji wo wote mtakaouingia nao hawawakaribishi utokeni, mkipita katika njia zake semeni,


Waponyeni wagonjwa waliomo, waambieni ya kama, Ufalme wa Mungu umewakaribieni.


Na wo wote wasiowakarihisheni, mtokapo katika mji ule, yakungʼuteni mavumbi ya miguuni mwenu illi kuwa ushuhuda juu yao.


Ndugu zangu, wana wa ukoo wa Ibrahimu, nao miongoni mwenu mnaomcha Mungu, kwenu ninyi neno la wokofu huu limepelekwa.


Angalieni, bassi, isije khabari ile iliyonenwa katika manabii,


Paolo na Barnaba wakanena kwa uthabiti wakasema, Ilikuwa lazima neno la Mungu linenwe kwenu kwanza: illakini kwa kuwa mnalisukumia mbali, wala hamjioni nafsi zenu kuwa mmestahili uzima wa milele, angalieni, twawageukia mataifa.


Nao wakawakungʼutia mavumbi ya miguu yao, wakaenda Ikonio.


Lakini kwa israeli asema, Mchana kutwa naliwanyoshea mikono watu wasiotii na ubishi.


Lakini yasemaje? Lile neno ni karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako; yaani ni lile neno la imani tulikhubirilo;


Yeye kwa kuwa ni mwanga wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivitengeneza vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya peke yake utakaso wa dhambi zetu, aliketi juu mkono wa kuume wa ukuu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo