Luka 10:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 Na mji wo wote mtakaouingia nao hawawakaribishi utokeni, mkipita katika njia zake semeni, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Lakini mkiingia katika mji wowote, wasipowakaribisheni, tokeni; nanyi mpitapo katika barabara zao semeni: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Lakini mkiingia katika mji wowote, wasipowakaribisheni, tokeni; nanyi mpitapo katika barabara zao semeni: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Lakini mkiingia katika mji wowote, wasipowakaribisheni, tokeni; nanyi mpitapo katika barabara zao semeni: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Lakini mkiingia katika mji, nao hawakuwakaribisha, tokeni mwende katika barabara zake mkaseme: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Lakini mkiingia katika mji, nao hawakuwakaribisha, tokeni mwende katika barabara zake mkaseme: Tazama sura |