Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 10:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 BASSI baada ya mambo haya Bwana akachagua wengine sabaini, akawatuma wawili wawili wamtangulie kwenda killa mji na pahali atakakokwenda mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Baada ya hayo, Bwana aliwachagua wengine sabini na wawili, akawatuma wawiliwawili, wamtangulie katika kila kijiji na mahali ambapo yeye mwenyewe alitaka kwenda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Baada ya hayo, Bwana aliwachagua wengine sabini na wawili, akawatuma wawiliwawili, wamtangulie katika kila kijiji na mahali ambapo yeye mwenyewe alitaka kwenda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Baada ya hayo, Bwana aliwachagua wengine sabini na wawili, akawatuma wawiliwawili, wamtangulie katika kila kijiji na mahali ambapo yeye mwenyewe alitaka kwenda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Baada ya hayo, Bwana Isa akawachagua wengine sabini na wawili, akawatuma wawili wawili katika kila mji na kila sehemu aliyokusudia kwenda baadaye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Baada ya hayo, Isa akawachagua wengine sabini na wawili, akawatuma wawili wawili katika kila mji na kila sehemu aliyokusudia kwenda baadaye.

Tazama sura Nakili

Luka 10:1
14 Marejeleo ya Msalaba  

Nae atatangulia mbele ya uso wake, mwenye roho ya Eliya, na nguvu zake, kuigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na kuwageuza maasi waelekee akili zao wenye haki; illi kumfanyia tayari Bwana watu waliotengenezwa.

Na wewe nawe, Mtoto, utakwitwa nabii wake Aliye juu: Kwa maana utatangulia mbele ya uso wake Bwana ufanyize njia zake;

Na Bwana alipomwona, akamhurumia, akamwambia, Usilie.

Yohana akaita wawili katika wanafunzi wake akawapeleka kwa Yesu, akisema, Wewe ndiye yule ajae, au tumtazamie mwingine?

Akatuma wajumbe mbele ya uso wake, wakashika njia, wakaingia katika kijiji cha Wasamaria, illi kumfanyia tayari.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo