Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 1:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 kama ilivyokuwa desturi ya ukubani, kura ikamwangukia kuingia katika hekalu la Bwana, na kufukiza uvumba.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Zakaria alichaguliwa kwa kura, kama ilivyokuwa desturi, kuingia hekaluni ili afukize ubani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Zakaria alichaguliwa kwa kura, kama ilivyokuwa desturi, kuingia hekaluni ili afukize ubani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Zakaria alichaguliwa kwa kura, kama ilivyokuwa desturi, kuingia hekaluni ili afukize ubani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 alichaguliwa kwa kura kwa kufuata desturi za ukuhani, kuingia Hekaluni mwa Mwenyezi Mungu ili kufukiza uvumba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 alichaguliwa kwa kura kwa kufuata desturi za ukuhani, kuingia Hekaluni mwa Mwenyezi Mungu ili kufukiza uvumba.

Tazama sura Nakili

Luka 1:9
10 Marejeleo ya Msalaba  

Akavitupa vile vipande vya fedha katika patakatifu, akaondoka; akaenda, akajinyonga.

Bassi, vitu hivi vikiislia kutengenezwa hivyo, makuhani huingia khema ya kwanza siku zote, wakiyatimiza mambo va ibada.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo