Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:78 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

78 Kwa rehema zake Mungu wetu, Kwazo mwangaza wa juu umetujia,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

78 Mungu wetu ni mpole na mwenye huruma. Atatuchomozea mwanga kutoka juu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

78 Mungu wetu ni mpole na mwenye huruma. Atatuchomozea mwanga kutoka juu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

78 Mungu wetu ni mpole na mwenye huruma. Atatuchomozea mwanga kutoka juu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

78 kwa ajili ya wingi wa rehema za Mungu wetu, nuru inayotoka juu itatuzukia

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

78 kwa ajili ya wingi wa rehema za Mungu wetu, nuru itokayo juu itatuzukia

Tazama sura Nakili




Luka 1:78
19 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hatta akampeleka Mwana wake wa pekee, illi mtu aliye yote amwaminiye asipotee, bali apate uzima wa milele.


Kwa biyo anena, Amka, wewe usinziae, kafufuka, na Kristo atakuangaza.


Maana Mungu ni shahidi wangu, jinsi ninavyowaonea shauku katika moyo wake Kristo Yesu.


BASSI ikiwako faraja iliyo yote katika Kristo, yakiwako ma, tulizo yo yote ya mapenzi, ikiwako huruma yo yote na rehema,


Bassi, kwa kuwa mu wateule wa Mungu, watakatifu na wapendwao, vaeni moyo wa rehema, utu wema, unyenyekevu, upole, uvumilivu,


Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ingʼaayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya assubuhi kuzuka mioyoni mwenu.


Lakini mtu akiwa na riziki ya dunia hii, akamwona ndugu yake yu muhitaji, akamzuilia huruma zake, je! huko ndiko kumpenda Mungu?


Mimi Yesu nalimtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daud, ile nyota yenye kungʼaa ya assubuhi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo