Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:74 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

74 Ya kwamba atatupa sisi, tukiokoka mikononi mwa adui zetu, tumwabudu pasipo khofu,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

74 tukombolewe mikononi mwa maadui zetu, tupate kumtumikia bila hofu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

74 tukombolewe mikononi mwa maadui zetu, tupate kumtumikia bila hofu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

74 tukombolewe mikononi mwa maadui zetu, tupate kumtumikia bila hofu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

74 kutuokoa kutoka mikononi mwa adui zetu, tupate kumtumikia yeye pasipo hofu

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

74 kutuokoa kutoka mikononi mwa adui zetu, tupate kumtumikia yeye pasipo hofu

Tazama sura Nakili




Luka 1:74
21 Marejeleo ya Msalaba  

Tuokolewe na adui zetu, na katika mikono yao wote wauaotuchukia;


Uapo aliomwapia Ibrahimu baba yetu,


Katika utakatifu na kwa haki mbele zake siku zetu zote.


Lakini sasa mkiisha kuandikwa huru, na kuwa mbali ya dhambi, na kufanywa watumwa wa Mungu, faida yenu mnayo, ndio kutakaswa, na mwisho wake uzima wa milele.


Kwa kuwa hamkupokea roho ya utumwa uletao khofu, hali mlipokea roho ya kufanywa waua, kwa hiyo twalia, Abba, Baba.


Maana Mungu hakutupa roho ya khofu, bali ya nguvu na ya upendo ua ya moyo wa kiasi.


akawaokoe wale ambao kwamba maisha zao zote kwa khofu ya mauti walikuwa katika hali ya utumwa.


bassi si zaidi damu yake Kristo, ambae kwamba kwa Roho ya milele alijitoa nafsi yake kwa Mungu kuwa sadaka isiyo mawaa, itawasafisheni dhamiri zenu na matendo mafu, mpate kumwabudu Mungu aliye hayi?


Usiogope mambo yatakavokupata: tazama mshitaki atawatupa baadhi yenu gerezani illi mjaribiwe, nanyi mtakuwa na mateso siku kumi. Uwe mwaminifu hatta kufa, nami nitakupa taji ya uzima.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo