Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:67 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

67 Zakaria babae akajazwa Roho Mtakatifu, akatabiri, akinena,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

67 Zakaria, baba yake mtoto, akajazwa Roho Mtakatifu, akatamka unabii huu:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

67 Zakaria, baba yake mtoto, akajazwa Roho Mtakatifu, akatamka unabii huu:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

67 Zakaria, baba yake mtoto, akajazwa Roho Mtakatifu, akatamka unabii huu:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

67 Zakaria, baba yake, akajazwa na Roho Mtakatifu wa Mungu, naye akatoa unabii, akisema:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

67 Zekaria, baba yake, akajazwa na Roho wa Mwenyezi Mungu, naye akatoa unabii, akisema:

Tazama sura Nakili




Luka 1:67
9 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maani atakuwa mkuu mbele ya Mungu, hatakunywa divai wala kileo: nae atajazwa Roho Mtakatifu hatta tangu tumbo la mama yake.


Ikawa Elizabeti alipoisikia salamu ya Mariamu, mtoto mchanga akaruka ndani ya tumbo lake; Elizabeti akajazwa Roho Mtakatifu, akapaaza sauti yake kwa nguvu, akasema,


Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha mbalimbali, kama Roho alivyowajalia kutamka.


Imekuwaje bassi sisi kusikia killa mtu lugha yetu tuliyozaliwa nayo?


Anania akaenda zake, akaingia mle nyumbani; akamwekea mikono akisema, Ndugu Saul, Bwana amenipeleka, Yesu, yeye aliyekutokea katika njia uliyoijia, upate kuona tena, ukajazwe Roho Mtakatifu.


Maana unabii haukuletwa zamani kwa mapenzi ya mwana Adamu; hali wana Adamu, watakatifu wa Mungu, walinena, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo