Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 1:66 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

66 Na wote waliosikia wakayaweka mioyoni mwao, wakinena, Mtoto gani bassi atakuwa huyu? Kwa maana mkono wa Bwana ulikuwa pamoja nae?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

66 Wote waliosikia mambo hayo, waliyatafakari mioyoni mwao wakisema: “Mtoto huyu atakuwa mtu wa namna gani?” Maana, hakika nguvu ya Bwana ilikuwa pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

66 Wote waliosikia mambo hayo, waliyatafakari mioyoni mwao wakisema: “Mtoto huyu atakuwa mtu wa namna gani?” Maana, hakika nguvu ya Bwana ilikuwa pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

66 Wote waliosikia mambo hayo, waliyatafakari mioyoni mwao wakisema: “Mtoto huyu atakuwa mtu wa namna gani?” Maana, hakika nguvu ya Bwana ilikuwa pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

66 Kila aliyesikia habari hizi alishangaa akauliza, “Je, mtoto huyu atakuwa mtu wa namna gani?” Maana mkono wa Mwenyezi Mungu ulikuwa pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

66 Kila aliyesikia habari hizi alishangaa akauliza, “Je, mtoto huyu atakuwa mtu wa namna gani?” Maana mkono wa Mwenyezi Mungu ulikuwa pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Luka 1:66
16 Marejeleo ya Msalaba  

Yule mtoto akakua akaongezeka nguvu rohoni; akawako majangwani hatta siku ya kutokea kwake kwa Israeli.

Bali Mariamu aliyahifadhi maneno haya yote akiyatafakari moyoni.

Mtoto yule akakua, akaongezeka nguvu, akajazwa hekima; neema ya Mungu ikawa pamoja nae.

Akashuka pamoja nao, akafika Nazareti, akawa anawatii: mama yake akayahifadhi maneno haya yote moyoni mwake.

Yawekeni maneno haya masikioni mwenu: kwa maana Mwana wa Adamu anakwenda kutiwa katika mikono ya watu.

Mkono wa Bwana ukawa pamoja nao: watu wengi wakaamini, wakamwelekea Bwana.

kwa sababu ya tumaini mlilowekewa akiba mbinguni, khabari zake mlisikia zamani kwa neno la kweli ya Injili;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo