Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:65 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

65 Khofu ikawaingia wote waliokaa karibu nao; yakaenea maneno haya pia milimani mwote Uyahudi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

65 Hofu ikawaingia jirani wote, na habari hizo zikaenea kila mahali katika milima ya Yudea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

65 Hofu ikawaingia jirani wote, na habari hizo zikaenea kila mahali katika milima ya Yudea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

65 Hofu ikawaingia jirani wote, na habari hizo zikaenea kila mahali katika milima ya Yudea.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

65 Majirani wote wakajawa na hofu ya Mungu, na katika nchi yote ya vilima ya Yudea watu walikuwa wakinena kuhusu mambo haya yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

65 Majirani wote wakajawa na hofu ya Mungu, na katika nchi yote ya vilima vya Uyahudi watu walikuwa wakinena juu ya mambo haya yote.

Tazama sura Nakili




Luka 1:65
12 Marejeleo ya Msalaba  

ALIPOZALIWA Yesu katika Bethlehemu ya Yahudi zamani za mfalme Herode, majusi wa mashariki walifika Yerusalemi,


Mariamu akaondoka siku hizo, akaenda milimani kwa haraka hatta mji mmoja wa Yuda.


Wote waliosikia wakataajabu kwa yale waliyoambiwa na wachungaji.


Ushangao ukawashika wote wakamtukuza Mungu: wakajaa khofu, wakinena, Tumeona maajabu leo.


Khofu ikawashika wote, wakamtukuza Mungu, wakisema, Nabii mkuu ametokea kwetu: na Mungu amewajilia watu wake.


Khabari hii ikajulikana na Wayahudi wote na Wayunani waliokaa Efeso, khofu ikawaingia wote, jina la Bwana Yesu likaadhimishwa.


Killa mtu akaingiwa na khofu: ajabu nyingi na ishara zikafanyika kwa ujumbe wa mitume.


Khofu nyingi ikawapata kanisa lote na watu wote walioyasikia haya.


Anania aliposikia maneno haya akaanguka, akafa. Khofu nyiugi ikawapata watu wote walioyasikia haya.


Na baada ya siku tatu u nussu roho ya uhayi itokayo kwa Mungu ikawaingia, wakasimama, khofu kuu ikawaangukia watu waliowatazama.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo