Luka 1:62 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192162 Wakamwashiria babae, kumwuliza atakaje aitwe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema62 Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND62 Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza62 Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu62 Basi wakamfanyia Zakaria baba yake ishara ili kujua kwamba yeye angependa kumpa mtoto jina gani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu62 Basi wakamfanyia Zekaria baba yake ishara ili kujua kwamba yeye angependa kumpa mtoto jina gani. Tazama sura |