Luka 1:61 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192161 Wakamwambia, Hapana mtu katika jamaa zako aitwae jina hilo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema61 Wakamwambia, “Mbona hakuna yeyote katika ukoo wake mwenye jina hilo?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND61 Wakamwambia, “Mbona hakuna yeyote katika ukoo wake mwenye jina hilo?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza61 Wakamwambia, “Mbona hakuna yeyote katika ukoo wake mwenye jina hilo?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu61 Wakamwambia, “Hakuna mtu yeyote katika jamaa yako mwenye jina kama hilo.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu61 Wakamwambia, “Hakuna mtu yeyote katika jamaa yako mwenye jina kama hilo.” Tazama sura |