Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 1:60 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

60 Akajibu mamae, akasema, Sivyo, lakini atakwitwa Yohana.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

60 Lakini mama yake akasema, “Sivyo, bali ataitwa Yohane.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

60 Lakini mama yake akasema, “Sivyo, bali ataitwa Yohane.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

60 Lakini mama yake akasema, “Sivyo, bali ataitwa Yohane.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

60 Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yahya.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

60 Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yahya.”

Tazama sura Nakili

Luka 1:60
6 Marejeleo ya Msalaba  

akamchukua mkewe; asimjue kamwe hatta alipomzaa mwanawe wa kifungua mimba; akainwita jina lake YESU.

Yule malaika akamwambia, Usiogope, Zakaria, maana dua yako imesikiwa, na mke wako Elizabeti atakuzalia mtoto mwanamume, na jina lake utamwita Yohana.

Wakamwambia, Hapana mtu katika jamaa zako aitwae jina hilo.

Akataka kibau, akaandika, akanena, Yohana ni jina lake. Wakataajabu wote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo