Luka 1:59 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192159 Ikawa siku ya nane wakaja kumtahiri mtoto; wakataka kumpa jina la babae, Zakaria. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema59 Halafu siku ya nane walifika kumtahiri mtoto, wakataka kumpa jina la baba yake, Zakaria. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND59 Halafu siku ya nane walifika kumtahiri mtoto, wakataka kumpa jina la baba yake, Zakaria. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza59 Halafu siku ya nane walifika kumtahiri mtoto, wakataka kumpa jina la baba yake, Zakaria. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu59 Siku ya nane wakaja kumtahiri mtoto, wakataka yule mtoto aitwe Zakaria, ambalo ndilo jina la baba yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu59 Siku ya nane wakaja kumtahiri mtoto, wakataka yule mtoto aitwe Zekaria, ambalo ndilo jina la baba yake. Tazama sura |