Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 1:58 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

58 Wakasikia jirani zake na jamaa zake ya kwamba Bwana amemwongezea rehema zake; wakafurahiwa pamoja nae.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

58 Jirani na watu wa jamaa yake walipopata habari kwamba Bwana amemwonea huruma kubwa, walifurahi pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

58 Jirani na watu wa jamaa yake walipopata habari kwamba Bwana amemwonea huruma kubwa, walifurahi pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

58 Jirani na watu wa jamaa yake walipopata habari kwamba Bwana amemwonea huruma kubwa, walifurahi pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

58 Majirani zake na jamii zake wakasikia jinsi Mwenyezi Mungu alivyomfanyia rehema kuu, nao wakafurahi pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

58 Majirani zake na jamii zake wakasikia jinsi Mwenyezi Mungu alivyomfanyia rehema kuu, nao wakafurahi pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Luka 1:58
12 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe utakuwa na furaha na shangwe; na watu wengi watafurahia kuzaliwa kwake.

Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana, siku zile alizoniangalia, kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.

Hatta Elisabeti akatimiziwa wakati wake wa kuzaa, akazaa mwana mume.

Akamwambia na yule aliyemwalika, Ufanyapo chakula cha assubuhi au cha jioni, usiwaite rafiki zako, wala ndugu zako, wala jamaa zako, wala jirani zako walio na mali, wasije na wao wakakualika wewe, ukapata malipo.

Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao.

Na kiungo kimoja kikiumia, viungo vyote huumia navyo, na kiungo kimoja kikitukuzwa, viungo vyote hufurahi pamoja.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo