Luka 1:57 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192157 Hatta Elisabeti akatimiziwa wakati wake wa kuzaa, akazaa mwana mume. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema57 Wakati wa kujifungua kwake Elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND57 Wakati wa kujifungua kwake Elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza57 Wakati wa kujifungua kwake Elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu57 Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto wa kiume. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu57 Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto mwanaume. Tazama sura |