Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 1:56 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

56 Mariamu akakaa nae kadri ya miezi mitatu, akarudi nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

56 Maria alikaa na Elisabeti kwa muda upatao miezi mitatu, halafu akarudi nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

56 Maria alikaa na Elisabeti kwa muda upatao miezi mitatu, halafu akarudi nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

56 Maria alikaa na Elisabeti kwa muda upatao miezi mitatu, halafu akarudi nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

56 Mariamu akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

56 Mariamu akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Luka 1:56
2 Marejeleo ya Msalaba  

(Kwa jinsi alivyowaambia baba zetu) Ibrahimu na nzao wake, hatta milele.

Hatta Elisabeti akatimiziwa wakati wake wa kuzaa, akazaa mwana mume.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo