Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:52 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

52 Amewashusha wakuu katika viti, Amewakweza wanyonge.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

52 amewashusha wenye nguvu kutoka viti vyao vya enzi, akawakweza wanyenyekevu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

52 amewashusha wenye nguvu kutoka viti vyao vya enzi, akawakweza wanyenyekevu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

52 amewashusha wenye nguvu kutoka viti vyao vya enzi, akawakweza wanyenyekevu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

52 Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya utawala, lakini amewainua wanyenyekevu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

52 Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya enzi, lakini amewainua wanyenyekevu.

Tazama sura Nakili




Luka 1:52
14 Marejeleo ya Msalaba  

Huyu si yule sermala, mwana wa Mariamu, na ndugu wii Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simon? na ndugu zake wanawake hawapo hapa petu? Wakachukizwa nae.


Kwa maana killa ajikwezae atadhilika; nae ajidhiliye atakwezwa.


Nawaambia ninyi, huyu alishuka nyumbani kwake amepata kibali kuliko yule: kwa maana killa ajikwezae atadhilika; nae ajidhiliye atakwezwa.


Jidhilini mbele za Bwana, nae atawakuzeni.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo