Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:51 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

51 Ametenda nguvu kwa mkono wake; Amewatawanya walio na kiburi katika mioyo yao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

51 Amefanya mambo makuu kwa mkono wake: Amewatawanya wenye kiburi katika mawazo ya mioyo yao;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

51 Amefanya mambo makuu kwa mkono wake: Amewatawanya wenye kiburi katika mawazo ya mioyo yao;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

51 Amefanya mambo makuu kwa mkono wake: amewatawanya wenye kiburi katika mawazo ya mioyo yao;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

51 Kwa kuwa ametenda mambo ya ajabu kwa mkono wake; amewatawanya wale wenye kiburi ndani ya mioyo yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

51 Kwa kuwa ametenda mambo ya ajabu kwa mkono wake; amewatawanya wale wenye kiburi ndani ya mioyo yao.

Tazama sura Nakili




Luka 1:51
32 Marejeleo ya Msalaba  

kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza:


tukiangusha mawazo na kiila kitu kilichoinuka, kijiinuacho jun ya elimu ya Mungu; na tukifanya mateka fikara zote zipate kumtii Kristo:


Vivyo hivyo ninyi vijana, watiini wazee. Naam, ninyi nyote jifungeni unyenyekevu kama mshipi, mpate kukhudumiana; kwa sababu Mungu hushindana na wenye kiburi, huwapa wanyenyekevu neema.


Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, manti, na huzuni, na njaa, nae atateketezwa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemhukumu ni hodari.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo