Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:50 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

50 Na rehema zake vizazi hatta vizazi Kwao wanaomcha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

50 Huruma yake kwa watu wanaomcha hudumu kizazi hata kizazi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

50 Huruma yake kwa watu wanaomcha hudumu kizazi hata kizazi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

50 Huruma yake kwa watu wanaomcha hudumu kizazi hata kizazi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

50 Rehema zake hudumu kizazi hadi kizazi, kwa wale wanaomcha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

50 Rehema zake huwaendea wale wamchao, kutoka kizazi hadi kizazi.

Tazama sura Nakili




Luka 1:50
15 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa kuwa aliye hodari amenitendea makuu; Na Jina lake ni takatifu.


Sauti ikatoka katika kiti cha enzi ikisema, Msifuni Mungu wetu, enyi watumishi wake wote, ninyi mnaomcha, wadogo na wakuu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo