Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:49 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

49 Kwa kuwa aliye hodari amenitendea makuu; Na Jina lake ni takatifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

49 Kwa kuwa Mungu Mwenye Nguvu amenifanyia makuu, jina lake ni takatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

49 Kwa kuwa Mungu Mwenye Nguvu amenifanyia makuu, jina lake ni takatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

49 Kwa kuwa Mungu Mwenye Nguvu amenifanyia makuu, jina lake ni takatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

49 kwa maana yeye Mwenye Nguvu amenitendea mambo ya ajabu: jina lake ni takatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

49 kwa maana yeye Mwenye Nguvu amenitendea mambo ya ajabu: jina lake ni takatifu.

Tazama sura Nakili




Luka 1:49
21 Marejeleo ya Msalaba  

Akawapa rukhusa. Wale pepo wachafu wakatoka, wakaingia katika wale ngumwe: kundi lote likatelemka kwa kassi gengeni, wakaingia baharini; walikuwa wapata elfeen; wakafa baharini.


Kwa kuwa ameutazama unyonge wa mjakazi wake: Kwa maana hakika, tokea leo vizazi vyote wataniita kheri.


Na rehema zake vizazi hatta vizazi Kwao wanaomcha.


Bassi, kwake yeye awezae kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuombayo au tuwazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu,


Ni nani asiyekucha, Bwana, na kulitukuza jina lako? kwa kuwa wewe peke yako Mtakatifu: kwa maana mataifa yote watakuja na kusujudu mbele yako; kwa kuwa matendo yako ya haki yamekwisha kufunuliwa.


Na hawa nyama wane, wenye uhayi, killa mmoja alikuwa na mabawa sita: pande zote na ndani wamejaa macho, nao hawapumziki mchana wala usiku, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu Mwenyiezi, aliyekuwako, nae yuko, nae anakuja.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo