Luka 1:48 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192148 Kwa kuwa ameutazama unyonge wa mjakazi wake: Kwa maana hakika, tokea leo vizazi vyote wataniita kheri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 Kwa kuwa amemwangalia kwa huruma mtumishi wake mnyenyekevu. Hivyo tangu sasa watu wote wataniita mwenye heri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 Kwa kuwa amemwangalia kwa huruma mtumishi wake mnyenyekevu. Hivyo tangu sasa watu wote wataniita mwenye heri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 Kwa kuwa amemwangalia kwa huruma mtumishi wake mnyenyekevu. Hivyo tangu sasa watu wote wataniita mwenye heri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 kwa kuwa ameangalia kwa fadhili unyonge wa mtumishi wake. Hakika tangu sasa vizazi vyote vitaniita aliyebarikiwa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 kwa kuwa ameangalia kwa fadhili unyonge wa mtumishi wake. Hakika tangu sasa vizazi vyote vitaniita aliyebarikiwa, Tazama sura |